Uraia Busara

Pattern number within this pattern set: 
1
Douglas Schuler
Public Sphere Project
Invariance: 
high
Verbiage for pattern card: 

Uraia Busara hueleza vile vikundi vya watu hushugulikia masilahi yao ya kiraia kupitia nguzo za kiraia. Inauliza swali la muhimu; je, jamii ina uerevu wa kutosha kutatua shida zinazo wakabili? Uraia busara unahitaji kufundishwa na kuenezwa, pia unahitaji mafikira ya jamii; vile wanaweza unganisha fikra zao ili waungane kifikra ili jamii iwezed kufanya kazi pamoja.

Pattern status: 
Released